◾ Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Kujifahamu wewe ni aina gani ya mwandishi
  2. Kujua aina gani ya kitabu uandike
  3. Kufahamu njia tatu za kuandika kitabu
  4. Kuchagua njia itakayokufaa ya kuandika kitabu
  5. Mambo manne (4) ya kuzingatia wakati unaandika kitabu

◾ Muda wa kozi: Siku 6

◾ Uwasilishaji: Baruapepe

◾ Mazoezi, mtihani & cheti

Weka taarifa zako hapa chini kujisajili kwenye kozi. 

NOTE: Ukimaliza kujisajili, ingia kwenye baruapepe yako, kuna maelezo ya jinsi ya KUANZA KOZI hii nimekutumia tayari.

.