◾ Baada ya kusoma kozi hii utakuwa umejifunza mambo yafuatayo;

  1. Nini maana ya jukwaa la kuuza/kuuzia kitabu
  2. Nini maana ya njia za kuuza kitabu
  3. Tofauti ya jukwaa la kuuza/kuuzia kitabu na njia za kuuza kitabu
  4. Kuchagua njia ya kuuza kitabu ambayo utaanza kuitumia kuuza kitabu chako
  5. Kufahamu zana muhimu ambazo zitakusaidia katika uuzaji wa kitabu chako
  6. Nini kinafuata baada ya kuuza kitabu

◾ Muda wa kozi: Siku 9

◾ Uwasilishaji: Baruapepe

◾ Mazoezi, mtihani & cheti

NOTE: Ukimaliza kujisajili, ingia kwenye baruapepe yako, kuna maelezo ya jinsi ya KUANZA KOZI hii nimekutumia tayari.

.